KIMENUKA JIMBO LA UKONGA:CHADEMA WAMTUHUMU MWITA WAITARA KWA KUAMASISHA MAUAJI

  • 6 years ago
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema leo kimemtuhumu vikali mgombea wa ubunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Ccm kwa kile kilichodaiwa kuwa anaamasisha mauaji,Chadema wameyasema hayo leo wakati wanazungumza na waandishi wa habari katika ofisi zao za Ngome huko Ukonga

Recommended