Waziri Kangi Lugola amtaka IGP Sirro ajieleze

  • 6 years ago
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amempa wiki mbili Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro amueleze mikakati ya kuwawezesha Watanzania kufanya shughuli zao za uchumi kwa saa 24 bila kukwamishwa na hofu ya usalama wao.

Powered by #AfricanFruti from Bakhresa Group of Companies

Recommended