Maalim Seif Ashikwa Babaya kauli Yakuwa Ni Raisi Wa Z'bar, Asema" Hamjui Hali Ilivyo Ndani"

  • 6 years ago
Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF, march 24, amefanya Ziara Ya Kutembelea Matawai Ya Chama cha CUF" Na Kuangalia Wagonjwa Maeneo ya Tandandale, Na Kushiriki Kongamano La Kutathmini Uhai wa chama Cha CUF" Kongamano Hilo Limefanyika Katika Ukumbi wa Madiba Hotel"Tandale Sokoni"
SUBSCRIBE......
Tembelea Website Yetu.....
Facebook......
Twitter......

Recommended