Undani wa saa ya milioni 400 ya Harmonize aliyozawadiwa na mpenzi wake.

  • 6 years ago
Harmonize kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Instagram ameweka kipande cha video fupi akiwa amevaa saa hiyo ikiwa imepambwa na alimasi na kuweka ujumbe wa kumshukuru mpenzi wake huku akiwaambia Watu wakaangalie Google thamani yake.
Tumekuwekea undani wa saa hiyo aina ya ya Patek philippe ice prince na thamani yake, pamoja na watu maarufu waliowahi kuimiliki.

Recommended