Gigy Money Alivyompokea Wolper Kwenye Baby Shower Yake

  • 6 years ago
Tukio hilo limefanyika katika ukumbi wa Afrika House Lounge uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo ‘Gigy Maoney’ alionekana akimpongeza msanii wa Bongo Muvi, Jaqueline Wolper, akisema kuwa nguvu zake zimewezesha hafla kufanyika kwani hata vazi alilokuwa amelivaa alivalishwa na yeye.

Recommended